Social Icons

Tuesday, 1 November 2016

Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake mjini Vwawa
Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akiwa pamoja na Kamanda wa Polisi mkoani hapa akionesha moja ya mifuko ya Mbegu Feki  iliyokamatwa kwa wafanyabiashara katika Mamlaka ya mji mdogo wa Mlowo.

No comments:

Post a Comment