Social Icons

Tuesday, 1 November 2016

HABARI KATIKA PICHA

Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akiwaonesha waandishi wa habari moja ya mifuko ya mbegu feki iliyokamatwa katika mamlaka ya mji mdogo wa Mlowo leo mjini Vwawa
Mkuu wa mkoa wa Songwe Galawa akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani leo katika ofisi yake iliyopo mjini Vwawa

No comments:

Post a Comment