Katika picha Katibu Tawala mkoa wa Songwe Elia Ntandu akitoa
maelezo kwa wajumbe wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa (RCC) kabla ya kikao
kuanza katika Ukumbi wa halmashauri ya Mbozi
Mbunge wa Jimbo la Songwe Philp Mlugo akiteta jambo na
Mbunge wa Mbozi Pascal Haonga leo katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa
Songwe kilichofanyika mjini Vwawa katika Ukumbi wa halmashauri
No comments:
Post a Comment