Social Icons

Thursday, 22 December 2016

 Katibu Tawala mkoani Songwe Elia Ntandu akimlaki Waziri wa Maji na Umwagiliaji Eng. Gerson Lwenge alipowasili katika ofisi za Mkuu wa mkoa Songwe Desemba 22 asubuhi kuanza ziara ya siku mbili wilaya za Momba na Mbozi.
 Mkuu wa wilaya ya Mbozi John Palingo akisalimiana na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Eng. Gerson Lwenge alipowasili katika ofisi za mkuu wa mkoa wa Songwe leo


Wataalamu wa maji katika mkoa wa Songwe wakimkaribisha Waziri wa maji kutembelea mkoa huo


No comments:

Post a Comment