Social Icons

Thursday, 22 December 2016

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji Eng. Gerson Lwenge akizungumza na viongozi wa mkoa wa mkoa wa Songwe kulia kwa Waziri ni Mkuu wa mkoa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa, kushoto kwa Waziri ni Katibu tawla mkoa Elia na Ntandu wakiwepo na viongozi wengine
Mkuu wa mkoa wa Songwe akisisitiza jambo wakati akitoa maelezo mara baada ya Waziri wa maji Mhandisi Gerson Lwenge alipowasili mkoani hapa ofisini kwake mjini Vwawa

No comments:

Post a Comment