Mwalimu anayefundisha somola Tehama katika shule ya Msingi Nyerere wilayani ileje akiwa anatoa maelekezo kwa Mkuu wa mkoa Luteni Mstaafu Chiku Galawa siku ya Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi mjini Itumba.
Lori la Shirika la Umeme Tanzania likiwa katika msafara wa maonesho katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi yaliyofanyika kimkoa mjini Itumba wilayani Ileje
Mwenyekiti wa TUGHE mkoa wa Songwe mwenye koti Joel Kaminyoge akiongoza maandamano ya wafanyakazi katika maadhimisho hayo yaliyofanyika Itumba wilayani Ileje juzi
Mkuu wa mkoa wa Songqwe Chiku Galawa aliyesimama katikati akijiandaa kuimba wimbo wa wafanyakazi katika viwanja vya stendi kuu Itumba wilayani Ileje
Mkuu wa mkoa wa Songwe aliyekaa katika kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ileje Joseph Mkude na Kushoto kwa Mkuu wa mkoa ni Agnes Mwasembo mjumbe wa TUKTA
Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Galawa akipata maelezo katika banda la maonesho la Jeshi la Polisi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment