Wajumbe wa Baraza la Mamlaka ya Mji wa Vwawa wakiwasili kwenye eneo la mkutano katika ofisi za Mamlaka hiyo mjini Vwawa jana
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya mji wa Vwawa Joel Kaminyoge akitoa maelezo kwa wajumbe wa Baraza la mamlaka hiyo (hawapo pichani) kabla ya kufunguliwa jana
Mkuu wa wilaya Mbozi John Palingo akitoa salamu za Serikali kwenye Baraza la Mamlaka ya mji wa Vwawa kabla ya kikao hicho kuvunjika.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Mamlaka ya mji wa Vwawa wakimsikiliza Mkuu wa wilaya akiwahutubia jana ambapo hata hivyo kikao hiccho kilivunjika muda mfupi mara ya DC huyo kumaliza hotuba yake na kuondoka.
Wajumbe wa Baraza la Mamlaka ya mji wa Vwawa wakisimama kuunga mkono hoja ya kusitisha shughuli za baraza hilo hadi Halmashauri ya Mbozi itakapolipa fedha za mamlka hiyo zaidi ya Sh. 126 milioni
Mwenyekiti wa Mamlaka ya mji wa Vwawa Ephraim Mwakateba akionesha jengo la shule ya Msingi Nsala kuwa ni miongoni mwa miradi iliyokwama kufuatia halmashauri kutowasilisha fedha za mamlaka hiyo ambazo zipo kwenye akaunti zake.
Tuesday, 25 October 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment