Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Songwe Godfrey Zambi akiwasili katika ofisi za CCM wilaya ya Mbozi alipokuwa katika ziara ya kikazi Oktoba 25 mwaka huu
Mhe. Zambi akisaini Kitabu cha Wageni katika fisi ya Mkuu wa mkoa wa Songwe mjini Vwawa
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Songwe ambaye pia ni Mkuu wa mkoa wa Lindi akiwahutubia wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Mbozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment