Galawa akimhoji mmoja wa vijana aliowakuta kwenye eneo la mpaka wakiendelea na shughuli mbalimbali
Mh. Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akizungumza na mfanyabiashara wa Nakonde Zambia Joel Siame, ambaye amevamia katika eneo la wazi la mpaka wa Tanzania na Zambia
Galawa akitoa maagizo kwa wafanyabiashara wa mbao waliovamia eneo la mpaka wa Tanzania na Zambia na kuwaamuru wahame ndani ya siku saba
Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Galawa akiongea na baadhi ya mafundi wa gereji aliowakuta mpakani Tunduma na kuwaagiza wahame katika eneo hilo na kuhamia katika eneo lililopangwa na halmashauri ya mji
hali kadhalika wafanyabiashara wa mazao nao hawako nyuma nao wamevamia eneo hilo na wengine kufungua maduka makubwa kama inavyoonekana katika picha hapo chini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment