Viongozi katika meza kuu wakiongozwa na Mkuu wa mkoa Songwe Chiku Galawa wakati wa ziara ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Eng. Gerson Lwenge kushoto kwa Galawa wakisaini kitabu cha wageni
Baadhi ya madiwani na watendaji wa halmashauri ya mji wa Tunduma wakimsikiliza Waziri wa maji na Umwagiliaji Eng. Gerson Lwenge hayupo ichani alipokuwa akizungumza nao jana mara baada ya kuanza ziara katika mji huo
Waziri wa Maji na Umagiliaji Eng. Lwenge akifungua jengo la ofisi ya Mamlaka ya maji mjini Tunduma
Sehemu ya mbele ya jengo la ofisi ya mamlaka ya maji Tunduma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment