Sunday, 1 January 2017
Habari katika Picha siku ya Usafi katika mji mdogo wa Mlowo
ASKOFU wa Kanisa la KKKT DAYOSISI YA KONDE DR ISRAEL PETER MWAKYOLILE akizungumza na wakazi wa mji mdogo wa Mlowo mara baada ya kukamilika zoezi la Usafi wa Jumamosi ya mwisho wa mwezi
Askofu wa Kanisa la KKKT Israel Mwakyolile mwenye suti nyeusi akiwa pamoja na Mkuu wa wilaya ya Mbozi John Palingo mwenye Tshirt nyeue na kofia nyekundu, wakwanza kushoto ni Mkuu wa Jimbo la kanisa la KKKT Mchungaji Mwambola na anayefuata ni Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Mbozi Bi. Edina Mwaigomole
Mkuu wa wilaya Mbozi John Palingo akizungumza katika mkutano mfupi mara baada ya zoezi la usafi katika mji wa mlowo jana Desemba 31, 2016
Baadhi ya wananchi walioshiriki zoezi la usafi wakimsikiliza mgeni rasmi askofu Mwakyolile
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment