Social Icons

Saturday, 14 January 2017

Habari Katika Picha Tukio la Kukabidi Zaanati Kijiji cha Manyara - Nambinzo Mbozi

 Wageni waalikwa wakiwasili katika eneo la zahanati ya Manyara iliyopo Nambinzo , Mbozi kabla ya kukabidhi jengo hilo.
 Mkurugenzi wa shirika la Good neighbors Tanzania Sung Me Sung kushoto akisalimiana na Mkandarasi wa Kampuni ya MIROGENA INVESTMENT Michael Muywanga alipowasili eneo la tukio
 Mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi zahanati Tusubilege Benjamini akihutubia wananchi
 sehemu ya Jengo la zahanati ya Manyara


Baadhi ya wacheza ngoma wakitoa burudani

No comments:

Post a Comment