Social Icons

Saturday, 14 January 2017

EXaudi S

 Hii ni Karaana ya Bw. Exaudi Kajela iliyopo Vwawa Mbozi mkoani Songwe, Kando ya barabara Kuu ya Tunduma - Mbeya mzunguko uwanja wa mpira wa CCM Vwawa
 Mwenyekiti wa Kamati ya Shule ya msingi Nuru Martini Mlaga na Mjumbe wake Jonasi Mwazembe wakijaribu kuinua moja ya fremu


Mkurugenzi wa halmashauri ya Mbozi Edna Mwaigomole akiopokea moja ya fremu hizo toka kwa Bw. Exaudi Kajela

No comments:

Post a Comment