
Diwani kata ya Katete Jailo Mwandute akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata yake hivi karibuni.


Baadhi ya wakazi wa kitongoji cha Namazyanzya kata ya Katete katika halmashauri ya Tunduma mkoani Songwe wakishiriki kazi za kumsaidia Mkandarasi wakati wa kukamilisha ujenzi wa Daraja

Mwenyekiti wa halmashauri ya Mbozi Erick Ambakisye

Katibu Tawala mkoani Songwe Elia Ntandu akizungumza neno katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa kuwezesha vijana katika kilimo na mifugo

Mkuu wa mkoa Songwe Chiku Galawa akihutubia wakati wa uzinduzi wa mradi wa kushirikisha vijana katika ukumbi wa Vwawa Day


Meneja wa Mradi wa Kuwashirikisha Vijana katika kilimo na Mifugo unaofadhiriwa na Heifer Internanational Damas Damian akitoa maelezo ya mradi katika siku ya uzinduzi iliyofanyika ukumbi wa Vwawa Day wilaya ya Mbozi

No comments:
Post a Comment