Social Icons

Sunday, 14 May 2017

HABARI KATIKA PICHA SIKU YA SHEREHE YA MAFUNZO KWA WAKULIMA WAZAOLAMAHINDI

 Mtaalamu kutoka Kampuni ya Mbegu ya Seedco akikagua mjawapo yashambala Mkulima toka kijiji cha Igunda

 Mkulima wa Mahindi toka Igunda Bw. Nzowa akimtembeza mtaalamu waKampuni ya Mbegu Seedco katika shamba lake Ijumaa Mei 12 mwaka huu

 Kibao kuonesha mtiririko wakazi za shambani kwa wakulima wazao la mahindi
 Mratibu wa Mradi wa AGRA -IGGSAS toka Kampuni ya Unyiha Associassion Aloyce Kamuzora akimuongoza Mkuu wa wilaya ya Mbozi John Palingo (aliyevaa safari suti) kukagua shamba la mahindi lamajaribio (Shamba daras)kijiji cha Igunda.


Pichani hapojuu Mratibu wa mradi wa AGRA - IGGASAS Aloyce Kamuzola akimuonesha maelekezo yaliyopo kwenye ubao wa ratiba za kazi shambani Mkuu wawilaya ya Mbozi John Palingo alipotembelea eneola Igunda

No comments:

Post a Comment