Social Icons

Sunday, 14 May 2017

HABARI PICHA ZIARA YA MKUU WA MKOA NYUMBANI KWA KIKONGWE WAMIAKA 127

 Pichani ni Mkuu wa mkoa wa Songwe Luteni Mstafu Chiku Galawa alipomtembelea nyumbani kwa Mzee Ambilikile Panja katika kitongoji cha Izyika kata ya Ihanda wilayani Mbozi anayemfuatia ni Mkuu wa wilaya Mbozi John Palingo

 Mkuu wa wilaya Mbozi John Palingo akimsalimia mzee Ambilikile Panja


 Baadhi ya viongozi na waandishi wa habari wakiwa nyumbani kwa mzee Panja

 Mkuu wa mkoa Songwe Chiku Galawa akimsemesha nenomke wa mzee Panja







 Chiku Galawa mkuu wamkoa waSongwe akifurahi na familia ya mzee panja

No comments:

Post a Comment