Social Icons

Wednesday, 20 December 2017

HABARI KATIKA PICHA WAKULIMA WAKISHIRIKI SHAMBA DARASA

 Mtaalamu wa Ugani toka Kampuni ya Logimwa Bornwelo Nzunda aliyeinama akiwaonesha namna ya kuweka alama za kipimo wakulima (hawaonekani pichani) wakati upandaji mahindi katika mafunzo yaliyofanyika katika shamba darasa kikundi cha Ichenjezya Saccos



 Katika picha hapo juu Mtaalamu wa Ugani toka Kampuni ya Yara akitoa mfano wa usimikaji wa mambo za kunyooshea mistari wakati wa upandaji mahindi

No comments:

Post a Comment