Social Icons

Friday, 26 January 2018

Habari katika Picha Kikao cha Madiwani - Mbozi

 Katika Picha Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi  wakifuatilia kikao ambacho kinaendeshwa kwa kutumia mtandao pasipo kutumia makabrasha mfumo uliobuniwa na serikali mkoani Songwe

No comments:

Post a Comment