Katika picha juu na chini Baadhi ya wajasiriamali wafungashaji wa vyakula wakiwa ukumbini kabla ya ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ya namna bora ya kufungasha bidhaa wanazozalisha. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Southern Garden Hotel mjini Vwawa wilayani Mbozi mkoa wa Songwe
Pichani Baadhi ya viongozi wakiwa meza kuu wakati wa mafunzo ya wafungashaji
Pichani hapo juu Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Songwe Herman Tesha akihutubia Wajasiriamali Wasindikaji wa Vyakula wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku mbili ya wafungashaji vyakula iliyofanyika katika Ukumbi wa Sourthen Garden Hotel mjini Vwawa wilayani Mbozi mkoa wa Songwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment