Social Icons

Wednesday, 18 April 2018

 Pichani ni Mashabiki wa mpira wa miguu kata ya Ihanda wakiwa wamelizonga goli ili washuhudie upigaji penati
 Habari picha hapo Juu ni wachezaji wa Timu ya Hanseketwa iliyotwa Ubingwa wa Ligi ya Hasunga Cup baada ya kuichapa timu ya Saweya Jumla ya mabao 7 kwa 6 yaliyopatikana kwa njia ya penati
Hapo juu ni mmoja wa vijana ambao wamejiajiri katika kuzoa taka katika mji wa Vwawa

No comments:

Post a Comment