Huu ni uwanja wa Forest Mlowo wilayani Mbozi mkoani Songwe ambao utatumika kuzindulia Mbio za Mwenge wa Uhuru April 2, mwaka huu
Mkuu wa mkoa mwenye shati la kitenge akipata maelezo kutoka kwa mkandarasi anayejenga majukwaa katika uwanja wa Forest Mlowo ambao ndiyo utatumika katika sherehe za uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2019 mkoani Songwe
Thursday, 14 March 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment